NakaziaDuh,
Hizo Toy Labda kwa matumizi yao wenyewe
Nione kama itafaaUnataka kuwa nunulia wafanyakazi wako na ndugu nini.Maaana unaonesha unaroho ya kiduku kuwazibiti
Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi.
Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta wakazinunua ili wananchi wake watumie.View attachment 3618553View attachment 3618554View attachment 3618555View attachment 3618556View attachment 3618557View attachment 3618558View attachment 3618559View attachment 3618560View attachment 3618561