Korea kaskazini imezindua simu ya kwa jina : πŸ‡°πŸ‡΅ DPRK Smartphone name Chongsong mean green pine

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi.

Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta wakazinunua ili wananchi wake watumie.
 
Zitakuwa zinatengenezwa na wachina waliowekeza North Korea. NK inamtegemea Mchina kiuchumi na kisiasa
 
Huku bongo tunaona maprofessor wa uchumi ,wanaolipwa pale Udsm ,tena wanatka kustaafu na miaka 70 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…