kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Silaha ni silaha tu....hazina macho 😪😪HIMARS sasa hivi ni zilipendwa 🤣🤣
Huwez amini mkuu, ndo Russia huyuhuyu yaani.Kweli inafikia hatua mpaka urusi anakodi wapiganaji?
Kweli?
Kweli?
Kweliiii???
Na zile mbwembe zote alizoingianazo Ukraine huku akitoa mkwala mzito kuwa yeyote atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto?
Hakika wahenga waliona mbali sana waliposema dunia duara
Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?Kama hii taarifa ina ukweli basi ni habari mbaya mno kwa Jeshi la Russia.
Tactically, nchi za kijamaa hasa Urusi huwa inaamini ktk Idadi kubwa ya Askari kwenye kushinda vita. Hii ndio maana inapelekea Generals kadhaa nao kuingia vitani Ukraine, inatokana na idadi kubwa ya Askari walio eneo la vita.
Kuna mtu anaamini ktk idadi ya vifaa na askari ili ushinde, na kuna mtu anaamini ktk inteligenc bora na zana chache effective ili kushinda vita.
Bado tunakataa taarifa za Magharibi kuwa Russia amepoteza zaidi ya Askari 30,000 huko Ukraine? Askari laki moja ni wengi saaaana. Na sina uhakika kama ni kweli watapelekwa, nchi za kijamaa zina mikwara mbuzi.
Unapopeleka 100,000 maana yake unapaswa kuweka replacement, muda huohuo maasimu wake kama South Korea, US wanajua umetoa Askari laki moja, Aaaaaah thubutuuuuu. Kwanza ela ya kurecruit wengine hao laki moja Mkorea anaipata wapi jaman?
... shukrani mkuu kwa kutujuza. Kumbe wale majenerali wote wa Russia waliouwawa Ukraine hawakutokea Red Army ila Wagner Group. Good.Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?
Wewe Ndo yule ulileta Uzi ukiwashutumu vijana wa siku hizi hawana maadili ulipokuwa kwenye seminar ya sensa. Una miaka karibia Sabin lakini angalia lugha unayotumia.Haaaa haaa kumamae haaaaaa haaa
Umenifananisha mkuu sijali kuhusu sensa wala lugha mkuu.Wewe Ndo yule ulileta Uzi ukiwashutumu vijana wa siku hizi hawana maadili ulipokuwa kwenye seminar ya sensa. Una miaka karibia Sabin lakini angalia lugha unayotumia.
Badala ya kuwa mfano mzuri kwa sisi vijana jamvin
Zilipendwa oooh HIMARS zimebadiri upepo huko.... Putin anaaibika leo kweli putin wakuomba askari wa akiba north korea? [emoji1787][emoji1787]HIMARS sasa hivi ni zilipendwa [emoji1787][emoji1787]
Upo battle ground? Hebu tufahamishe Huo ukweli unaoufahamu ukiwa nyuma ya keyboard?Mnajifariji tu na kufurahisha genge...ukweli ni tofauti sana
Hahahahahaha. ......naona unampa mjinga elimu polepole.... shukrani mkuu kwa kutujuza. Kumbe wale majenerali wote wa Russia waliouwawa Ukraine hawakutokea Red Army ila Wagner Group. Good.
... hawa jamaa wana roho ya paka! Mdogo mdogo wataelewa tu na, in fact, wameanza kukata pumzi siku za hivi karibuni; makeke yao yamepungua sana humu.Hahahahahaha. ......naona unampa mjinga elimu polepole.
Duh [emoji848]Huwez amini mkuu, ndo Russia huyuhuyu yaani.
Ni kweli kabisa mkuu,naona ukraine imeshakamata maeneo mengi ndani ya nchi Ya Russia.Jana Putin alikua anahaha maana Moscow soon inatekwa na ukraine.Putin na urusi yake wameanza kukata moto.
Hao mgambo watawekwa kwenye rambo.
Akikujibu nitag mkuu.... shukrani mkuu kwa kutujuza. Kumbe wale majenerali wote wa Russia waliouwawa Ukraine hawakutokea Red Army ila Wagner Group. Good.