Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Kweli inafikia hatua mpaka urusi anakodi wapiganaji?
Kweli?
Kweli?
Kweliiii???
Na zile mbwembe zote alizoingianazo Ukraine huku akitoa mkwala mzito kuwa yeyote atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto?
Hakika wahenga waliona mbali sana waliposema dunia duara
 
Huwez amini mkuu, ndo Russia huyuhuyu yaani.
 
Kama hii taarifa ina ukweli basi ni habari mbaya mno kwa Jeshi la Russia.

Tactically, nchi za kijamaa hasa Urusi huwa inaamini ktk Idadi kubwa ya Askari kwenye kushinda vita. Hii ndio maana inapelekea Generals kadhaa nao kuingia vitani Ukraine, inatokana na idadi kubwa ya Askari walio eneo la vita.

Kuna mtu anaamini ktk idadi ya vifaa na askari ili ushinde, na kuna mtu anaamini ktk inteligenc bora na zana chache effective ili kushinda vita.

Bado tunakataa taarifa za Magharibi kuwa Russia amepoteza zaidi ya Askari 30,000 huko Ukraine? Askari laki moja ni wengi saaaana. Na sina uhakika kama ni kweli watapelekwa, nchi za kijamaa zina mikwara mbuzi.

Unapopeleka 100,000 maana yake unapaswa kuweka replacement, muda huohuo maasimu wake kama South Korea, US wanajua umetoa Askari laki moja, Aaaaaah thubutuuuuu. Kwanza ela ya kurecruit wengine hao laki moja Mkorea anaipata wapi jaman?
Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?
 
Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?
... shukrani mkuu kwa kutujuza. Kumbe wale majenerali wote wa Russia waliouwawa Ukraine hawakutokea Red Army ila Wagner Group. Good.
 
Lugha ya kiingereza ni ngumu Sana.
JamiiForums1090878397.jpg
 
Wewe Ndo yule ulileta Uzi ukiwashutumu vijana wa siku hizi hawana maadili ulipokuwa kwenye seminar ya sensa. Una miaka karibia Sabin lakini angalia lugha unayotumia.

Badala ya kuwa mfano mzuri kwa sisi vijana jamvin
Umenifananisha mkuu sijali kuhusu sensa wala lugha mkuu.
 
Back
Top Bottom