Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa.....

North Korea said on Tuesday it has never had arms dealings with Russia and has no plans to do so, its state media reported, after the United States said North Korea appears to be supplying Russia with artillery shells for its war in Ukraine.

White House National Security spokesperson John Kirby said last week the United States has information that indicates North Korea is covertly supplying Russia with a "significant" number of artillery shells.

Kirby said North Korea was attempting to obscure the shipments by funnelling them through countries in the Middle East and North Africa and that Washington was monitoring to see whether the shipments are received.

A North Korean defence ministry official called the allegations a rumour and said Pyongyang has "never had 'arms dealings' with Russia" and has "no plan to do so in the future."
 
Kwanza hao North Korea na Irani,watakuwa wanawashangaa nyie western kwa akili zenu za visoda-hivi Taifa mnaloliogopa mkaunda NATO Nchi 34 ili mukabiliane nae ndio aje ategemee misaada ya kijeshi.
Hao North Korea na Irani ukiona slaa zao zinatumika huko basi jua wamemuomba Urusi ili wapate nafasi ya kutest slaa zao.
 
Kumbe Urusi ni noma,silaha anatumia za Kwake na Bado moto ni uleule,aibu Yao wale waliosema Urusi ataishiwa silaha ndani ya Miezi mitatu

Ameishiwa mpaka anaokoteza kote, ila hao sasa imebidi wamkane maana shughuli itawashukia, yule mbabe wa dini yenu Iran ndiye keshaufyata kabisa.
 
Duh wazaramo hamijifich ?
 
Kumbe Urusi ni noma,silaha anatumia za Kwake na Bado moto ni uleule,aibu Yao wale waliosema Urusi ataishiwa silaha ndani ya Miezi mitatu
No anapelekewa silaha za mkopo kisiri siri lakini North Korea na hawa Iran hawawezi kujibu direct wanaogopa vikwazo zaidi kutoka US na washirika wake.,
 
Sasa mnaotangaza Urusi kuishiwa siraha hivyo kulazimika kuomba siraha kwa wadau hua mnazitoa vijiwe gani hizi stori?
Mkuu North Korea ni watoto wadogo sana anaogopa vikwazo zaidi ndio maana anayayatika kwamba hajapeleka silaha russia, mbona US yeye alikiri waziwazi wanaisaidia ukraine silaha na wataisaidia duniani na mbinguni maana yake ni kwamba hakuna mbabe atakayemletea kauzibe yeye ndio superpower wa ulimwengu
 
Kwanza hao North Korea na Irani,watakuwa wanawashangaa nyie western kwa akili zenu za visoda-hivi Taifa mnaloliogopa mkaunda NATO Nchi 34 ili mukabiliane nae ndio aje ategemee misaada ya kijeshi.
Hao North Korea na Irani ukiona slaa zao zinatumika huko basi jua wamemuomba Urusi ili wapate nafasi ya kutest slaa zao.
Hili ndio jibu halisi la hoja ya msaada wa silaha za Iran.
Nakupa heko kwa kuliona jambo hili.
 
Ameishiwa mpaka anaokoteza kote, ila hao sasa imebidi wamkane maana shughuli itawashukia, yule mbabe wa dini yenu Iran ndiye keshaufyata kabisa.
Haya tusubiri ameishiwa silaha na mtakomboa majimbo yote manne
 
No anapelekewa silaha za mkopo kisiri siri lakini North Korea na hawa Iran hawawezi kujibu direct wanaogopa vikwazo zaidi kutoka US na washirika wake.,
Hivi north Korea kikwazo gani kimebaki ambacho hajawekewa na US?
 
Mfa maji haishi kutapatapa .........chant down babylon
 
Mkuu North Korea ni watoto wadogo sana anaogopa vikwazo zaidi ndio maana anayayatika kwamba hajapeleka silaha russia, mbona US yeye alikiri waziwazi wanaisaidia ukraine silaha na wataisaidia duniani na mbinguni maana yake ni kwamba hakuna mbabe atakayemletea kauzibe yeye ndio superpower wa ulimwengu
Hivi kuna vikwazo vimebaki?
 
Back
Top Bottom