Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

Vipo vingi sana na ndo hivyo anapapatua visiongezeke
Hivi kuuza silaha Kwa Urusi au Yeye kutengeneza silaha za Nuclear,Unadhani jambo lina uzito sana?North Korea Yuko Isolated na anadunda tu,sioni kikwazo Cha US Cha kumtisha NK!
 
Back
Top Bottom