Korea Kusini, Kaskazini wapiga Selfie, Lebanon wakataa kupanda basi moja na Israel

Korea Kusini, Kaskazini wapiga Selfie, Lebanon wakataa kupanda basi moja na Israel

Kinachowatenganisha North na South sio wananchi, ni serikali tu na uongozi wa Kim Jeong Un, isingekua hivo hawa jamaa wangekua washaungana zamani sana. Kim anajua kabisa akikubali democracy atahukumiwa kama international criminal faster sana na kifungo cha maisha kitakua kinamsubiri. Wananchi wa nchi hizi mbili wanapendana na wanajua kabisa kua ni ndugu. Kuna mchina anainfluence North, na mmarekani influence South, hilo nalo bonge la tatizo.

Ningependa sana kuona hizi nchi mbili zinaungana bila kupigana, wanaweza wakawa one very powerful country, wakiunganisha vichwa vya north na south, nuclear programme ya north, uchumi mkubwa na education quality iliyopo South, ndani ya decade moja watakua tishio.
 
Back
Top Bottom