Korea Kusini kujenga chuo kikuu cha Konza kwa gharama ya Kshs 10b



Uko sawa kabisa hatuwezi kuendelea bila ya kuwekeza kwenye hivi vyuo vya ufundi na Mlm.Nyerere aliliona hili, hivi vyuo ni muhimu sana pmj na Veta sasa tulipaswa tuwekeze hapa ili kwa mfano mgodi wa dhahabu kama uko Khama basi kuwe na Veta hapo hapo Kahama iliyospecialize kwenye mambo ya madini!
 

Kuna kitu bado hukielewi, na ndio hulka ya Watanzania, huwa mna matatizo sana ya kuelewa jambo lolote na inachukua nguvu nyingi sana kuwaelimisha. Konza city sio chuo, bali ni maeneo ya kazi kwa wabunifu walioletwa pamoja. Yaani technical practitioner hub. Hiki chuo kilichotajwa kwenye hii mada kitajengwa hapo pembeni ili kuongeza nguvu kwenye huu mradi wa Konza.

Tayari tuna hubs kama hizi ambazo tumejijengea wenyewe na zimeonyesha ufaulu mkubwa kwenye kuwapa vijana ajira.
Kwa mfano tu, iHub ambayo mimi ni mshirika, ina zaidi ya wanachama 16,000 na imefaulu kuzalisha kampuni za ICT 170 na tayari zingine 28 zipo kwenye incubator. Humo ndani kuna vituo vya utafiti na vifaa vya kila aina kwenye nyanja za ICT. Sasa huo ni mfano mmoja tu, kuna zingine kama Nailab n.k.

Sasa kwa kujenga Konza city na kuipa kila aina ya vifaa vinavyohitajika kwenye ICT, vijana wengi watapata ajira maana tayari wengi wamefaulu kujipa hizo ajira hata kabla ya kujengewa mazingira na serikali. Fahamu kuwa vijana wetu wamepiga hatua sana kwenye haya masuala ya ICT, wengi wanafanya kazi ambazo hata hazipo Kenya. Wanaajiriwa kwenye BPO na kuhusika kwenye miradi mikubwa duniani, aina ya miradi ambayo bado haijafika Kenya. Sasa ndio hapo watajengewa mazingira ya kuwawezesha kuzalisha na kufanya shughuli hizo wakiwa na vifaa vya uhakika vya kisasa na kwa kwenye eneo moja.

Huko Tanzania mlijaribu lakini bado mpo taratibu sana, nimekua hapo COSTECH, vijana wanajikaza kufanya mengi lakini wamepewa kisogo na serikali. Ninawafahamu vijana wenu wachache wabunifu ambao wametamaushwa na serikali yenu hiyo ya CCM. Hawapigi hatua na wanaishia kufanya hizo kazi unapigia debe za ulinzi na kubeba mabox.
 
mbona hizi technical institutions ziko nyingi hapa +254..Mfano..TUM ana TUK nk...sasa sioni haja ya kusacrifice hiyo project ya konza kwa kisingizio cha kuproduce technicians na technologists.let the engieeners and scientists be produced cz they all have a role to play in the market
 
mbona hizi technical institutions ziko nyingi hapa +254..Mfano..TUM ana TUK nk...sasa sioni haja ya kusacrifice hiyo project ya konza kwa kisingizio cha kuproduce technicians na technologists.let the engieeners and scientists be produced cz they all have a role to play in the market
 
Umemaliza hakuna la zuada hapo
 

Relax, everything has its place. setting up technical schools everywhere shouldnt stop setting up of a world class state of the art center of excellence research institute that will most likely be used to empower the other smaller ones around the country with its reseach and technology



Fiber optic to every town HQ will enable each county govt to set up a tech hub if they want to....
 
Poleni ndugu jirani.huyo msanii wenu bado anawaza ya kufanya huku kazi tu.

Hebu fuatilia yanayoendelea UDOM yaani inatia huruma. Elimu Bongo ni majanga.
 
Good news. But Konza Technocity is in Makueni County not Machakos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…