Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Ndo kujilamba lamba na kulamba koni [emoji23]Fuatilia mambo kabla hujafanya conclusion, wakorea wanapenda sana kujiremba si wanaume si wanawake, hiyo haimaanishi kwamba huko wengi wao ni wakina Lokole.
Labda kwa kuongezea tu, moja kati ya nchi ina sheria very strict mbele ya ushoga basi ni Korea
Siwez peleka dada angu akaharibu ukoo na hawa waremboKama hamna wanaume mpeleke dada yako huko akirudi bila mimba ndio tutajua hamna wanaume
Korea ya kiduku haina ujinga huoFuatilia mambo kabla hujafanya conclusion, wakorea wanapenda sana kujiremba si wanaume si wanawake, hiyo haimaanishi kwamba huko wengi wao ni wakina Lokole.
Labda kwa kuongezea tu, moja kati ya nchi ina sheria very strict mbele ya ushoga basi ni Korea
Kim jin, huu urembo unauonaje ukifanywa n mwanaume wew kama kijana wa kiume!?Wakorea wanapenda sana urembo na ni kawaida hakuna mtu anamshangaa mwenzie. Tena wako very strict kwenye sheria hasa kwa celebrities kuwa na scandal za kipuuzi zinaweza haribu career yako maisha yako yote.
We ambacho unakwama ni kujua tofauti kuwa kule no Korea wana maisha ya raha na wewe upo Tanzania unaganga na Mwigulu nchemba uko na stress mob kila kitu unachunguza unaona sio kawaida ila ni stress zako tu, huko kwao ni kawaida tu. Hata Bongo kulamba koni sio jambo baya sema watu wamejaa ujinga mwingi na kuaminishana hizo mambo za mademu. Wanaume bongo anavaa boksa wiki anaona ndo uanaume na masela wakijua unavaa boksa tofauti kila siku basi utataniwa mno. Kwahiyo tatizo sio wao, tatizo ni uelewa wako mdogoKim jin, huu urembo unauonaje ukifanywa n mwanaume wew kama kijana wa kiume!?
Idadi ya mashoga!? Mbona hawajinapu na kulamba koni!? Huoni wanchofanya hawa ni ushoga wa nchi nzimaUnaweza kukuta kwenye jamii unayoishi kuna idadi kubwa zaidi ya mashoga kuliko wao.
We unweza kulamba koni macho yamelegea unaangalia juu!?We ambacho unakwama ni kujua tofauti kuwa kule no Korea wana maisha ya raha na wewe upo Tanzania unaganga na Mwigulu nchemba uko na stress mob kila kitu unachunguza unaona sio kawaida ila ni stress zako tu, huko kwao ni kawaida tu. Hata Bongo kulamba koni sio jambo baya sema watu wamejaa ujinga mwingi na kuaminishana hizo mambo za mademu. Wanaume bongo anavaa boksa wiki anaona ndo uanaume na masela wakijua unavaa boksa tofauti kila siku basi utataniwa mno. Kwahiyo tatizo sio wao, tatizo ni uelewa wako mdogo
Kabisa yani mombasa na tanga raha waja leo! Haw wanakwanguliwa tope kiainaHao ni wa kuwala kisamvu tu, hakuna wanaume hapo. Hao hapo utawafananisha na dullah mbabe au kiduku!
Wale wachaf waganga w jadi mkuu bariadi na shinyanga.. Wasukuma mbona kazi kwao ndo mlo kamili! Huwez kuta rijali anakuw romantic mpaka anashindan n dem wake in nature.... Korea wabdilike tuJifunze cultural diversity duniani, usidhani kuwa mchafu ndiyo dalili urijali, wakorea siyo wamakonde kama mimi na wewe tuwaache.
Ila tuwahukumu wasukuma wenzetu ikiwa wataonekana wanaume baadhi wanajiremba isivyo kawaida yetu.
Usidhani duniani kote wanaume imara ni wale wanaokula ugali, wengine hawajui ulivyo.
Hao wanaolamba koni macho yamelegea umewaona wapi? Upo korea? Na kama ni picha kwa vyovyote hilo ni tangazo.We unweza kulamba koni macho yamelegea unaangalia juu!?
Sina kaka.. Lakin kam ya kujilegez n kulamba koni kuwa nayo tu hakuna tabuHuna exposure Mzee.