Korea ya Kusini imepaniki kwa taarifa zisizothibitishwa kuwa askari wa Korea ya Kaskazini wanapigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa korea ya kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!! Ipo hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia korea ya kaskazini!! Hiyo siyo habari ndogo!!
We makonda nawe una tabu sana, hii nayo ni thread au comment?
 
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa korea ya kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!! Ipo hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia korea ya kaskazini!! Hiyo siyo habari ndogo!!
International politics haziko hivo buana kuna kitu kinaitwa national interest kwanza.
 
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!!

po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia korea ya kaskazini!! Hiyo siyo habari ndogo.

Soma Pia: Putin kaishiwa? Ripoti zinasema Russia yatumia wanajeshi wa North Korea kupigana vita ya Ukraine!
Sasa cha ajabu nn? Kwani na yeye nato yote c inampa backup, hakuna cha ajabu
 
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!!

po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia korea ya kaskazini!! Hiyo siyo habari ndogo.

Soma Pia: Putin kaishiwa? Ripoti zinasema Russia yatumia wanajeshi wa North Korea kupigana vita ya Ukraine!
Hawa Korea kusini wana shida , kwani kama Korea Kaskazini atasaidiwa na Urusi na wao pia si watasaidiwa na Marekani? au anataka yeye tu apewe misaada wengine wasipewe? Kuna nchi za kipuuzi sana
 
Hiyo panic sio TU kwa sababu askari wa Korea Kaskazini wameenda kupigana Urusi. Kwenye vita yeyote combat experience(uzoefu wa vita) sio mafunzo ya nadharia Bali vita ya kweli ni muhimu sana kwani inawapa ukakamavu askari, utayari, utimamu katika kufanya maamuzi, kutenda na hata kusubiria pale inapobidi.

Hivyo ukiingia vitani na jeshi la namna hiyo huku wapinzani wako wakiwa hawana hiyo experience ni rahisi sana kumshinda.

Russia ilienda Syria kupigana kabla ya kuanza kwa vita ya Ukraine wakati wa Ukraine walishaanza kuchapana wenyewe kwa wenyewe, ndio maana Hadi Leo unaona jeshi la Urusi lipo stable ikiwa ni pamoja na silaha, na air power superiority.
 
Back
Top Bottom