Korodani kutoshuka msaada

Korodani kutoshuka msaada

Nivema ukaenda kwa wataalum kucheck madhara yake makubwa ni ugumba na saratani. Ila pia ni vema ukamuona daktari mbobezi kwenye Hormones hasa kwa watoto
 
Step/hatua ya kwanza siyo kuja kulalamika JF bali ni kwenda kuwaona wataalam husika yaani madaktari huko mahospitalini,wewe umeruka step muhimu braza!!
 
Hapo ni kisu mzee hakuna namna. Lazima zishushwe kwa operation la sivyo atakuwa mgumba
 
Back
Top Bottom