Nivema ukaenda kwa wataalum kucheck madhara yake makubwa ni ugumba na saratani. Ila pia ni vema ukamuona daktari mbobezi kwenye Hormones hasa kwa watoto
Step/hatua ya kwanza siyo kuja kulalamika JF bali ni kwenda kuwaona wataalam husika yaani madaktari huko mahospitalini,wewe umeruka step muhimu braza!!