mkuu, mimi siyo Dr. ila nilishapatwa na tatizo kama la kwako, ilianza korodani moja na baadae ikahamia ya pili. Nilipata maumivu makali sana. wataalamu wanasema ni "UTI complication" inawezekana kabisa ulido na mwanamke mwenye UTI bila kinga. Wahi kwa daktari ni tatizo dogo sana kabla hujachelewa.