Korodani moja kuvimba

Korodani moja kuvimba

abd-rashid nkando

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
207
Reaction score
160
Napenda kujua hivi korodani moja ikiwa Kubwa na nyengine ndogo kuna tatizo au ni hali ya kawaida tu
 
age? if less than 40 inaweza kuwa ni tatizo
 
Kuna tatizo. Inabidi hiyo iliyovimba ikatolewe kwa njia ya upasuaji.
 
Siku hizi jf Doctor kuna wataniaji wa matatizo ya watu badala ya watatuz wa magonjwa ya watu(doctors).
 
Mimi nadhani mtu akiomba ushauri hapa jf doctor kama huna cha kumshauri pita sio lazima kuweka mzaha.hii inashusha hadhi ya jukwaa.mfyuuuu!
 
Napenda kujua hivi korodani moja ikiwa Kubwa na nyengine ndogo kuna tatizo au ni hali ya kawaida tu

mkuu, mimi siyo Dr. ila nilishapatwa na tatizo kama la kwako, ilianza korodani moja na baadae ikahamia ya pili. Nilipata maumivu makali sana. wataalamu wanasema ni "UTI complication" inawezekana kabisa ulido na mwanamke mwenye UTI bila kinga. Wahi kwa daktari ni tatizo dogo sana kabla hujachelewa.
 
Kama unawatoto tayari wahi dna kabla yakujua tatizo mpwa...
 
Back
Top Bottom