Korodani moja kuwa ndogo

Korodani moja kuwa ndogo

Lutsala

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
547
Reaction score
223
Habari jamani,

Naomben msaada mwenzenu korodani yangu moja ni ndogo mno mpaka napata tabu ninapokuwa na mwenza wangu.
 
Wewe unapata tabu ya nini bwana kwani bwana kipara hawezi kuingia kule anakotakiwa?
 
Anaingia bwana na anapiga kaz yake hofu yangu isijekuwa ni katatizo fulan,maana magonjwa nayo noma.
 
Habari jamani,

Naomben msaada mwenzenu korodani yangu moja ni ndogo mno mpaka napata tabu ninapokuwa na mwenza wangu.

Mkuu ulikutana na dada ambaye ametoka mwezini au akiwa mwezini ndio maana imekuwa hivyo,inaelekea utakuwa na busha kubwa mtaa mzima cha kufanya ili hilo lisitokee chukua unga wa tangawizi vijiko viwili kisha chemsha maji ya moto uchanganye kisha yapoe unywe kwa mkupuo fanya hivyo siku tatu kila asubuhi kisha ulete mrejesho.
 
Duu ujue sipigi sana hiz mechi mkuu,ila dawa nitakupa feedback.
 
Back
Top Bottom