Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mod's hamuiyoni hiyo KORONGWE mkaondoa N Mungu anawaona!Mkuu wa Wilaya Korogwe Mhe. JOKATE MWEGELO apokea Vifaa vya TEHAMA katika Shule 6 wilayani Korogwe vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 92 kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania.
Wanashangaa taarifa haijakamilika, idadi ya computer zilizotolewa ili tuweze kuthaminisha bei ya kila 1 itakuwa shilingi ngapi.Mod's hamuiyoni hiyo KORONGWE mkaondoa N Mungu anawaona!