Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe.
Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day. Baadae akawekwa Mochwari kwa siku 7 then akazikwa Korogwe baada ya kukoseakana ndugu kumtambua.
Sasa gari ipo barabarani ya silver na inatolewa vitu kidogo kidogo roughly.
Shida sana.