Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Weka Plate no zake hapa!Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea...
Tanzania ni nchi hovyo sana, Utakuta TRA hawajui hiyo gari ni ya nani, Polisi nao hawana Taarifa, basi tu mradi tunaishiWalishindwa hata kumtambua mmiliki wa hiyo gari ni nani??
Vipi kuhusu kuitumia simu yake kuwapata ndgu, jamaa au marafiki!??
Hata mitandao ya kijamii nayo haikuwasadia kumtambua jamaa, so sad.
Weka picha tuone usajiliKorogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea Dsm. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit...
Mengi Sana na jamaa ameleta kiushabiki eti marehem amezikwa baada ya kushindwa kutambulisho hapana siyo kweli kbsa hi hbrTaarifa Bado Inamapungufu