Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Uchafu Ni nini mkuu? Uchafu ni kitu chochote kukaa mahali ambapo hapastahili kitu hicho kuwa pale.Unauita ubongo wa mtu uchafu?
Upo sahihi ila sasa haijakaa sawa sana katika hayo mazingira kusema hivyo.Uchafu Ni nini mkuu? Uchafu ni kitu chochote kukaa mahali ambapo hapastahili kitu hicho kuwa pale.
Hata nguo yako unayoipenda Sana ukiiweka mahali ambapo si mahali pake Basi huo ni uchafu,kinyesi kinapokuwa chooni huwezi kukiita ni uchafu maana chooni ni mahali pake,ikiwa kinyume chake Basi huo ni uchafu
Unauita ubongo wa mtu uchafu?
Upo sahihi ila sasa haijakaa sawa sana katika hayo mazingira kusema hivyo.
Ukitaka kuamini ule uwe ubongo wa mtu wako wa karibu halafu unamsikia mwingine akisema hivyo.
asante kwa taarifa lakini hauna busara.
Ni uchafu tu haijalishi ungekuwa barababrani au mochwari au kaburini. Binadamu ukishakufa hauna thamani tena, msijifariji kijinga.Ungekuwa ubongo wako nao ungeitwa uchafu
Umetoa hoja nzuri mwishoni umeharibu mkuu
Ukifa basi tungeita mzoga ndio maana hata mwili uokotwe mtoni huwezi kuita mizoga au neno lolote baya
Tafsida ikusaidie boss
Nadhani hapo wangeiachia Mamlaka ya Kunguru wa Korogwe tu.Ni mamlaka ipi inahusika hapo kuzoa huo ubongo?.
Korogwe hakuna Hawa kunguru wa Dar wasiovaa white shirt.Hivi Kunguru wa Korogwe wako likizo?
Mbona hapa Temeke Bodaboda akimwaga Ubongo Kunguru wa Dar wanasafisha mara moja.