Korogwe: Mamlaka ondoeni barabarani masalia ya mwili wa marehemu aliyegongwa na lori la mchanga

Korogwe: Mamlaka ondoeni barabarani masalia ya mwili wa marehemu aliyegongwa na lori la mchanga

Ni uchafu tu haijalishi ungekuwa barababrani au mochwari au kaburini. Binadamu ukishakufa hauna thamani tena, msijifariji kijinga.
Ni kukosa heshima tu kwa marehemu ndo kunakokusumbua sababu ya kukosa uzoefu wa tafsiri ya neno maiti.
 
Mkuu.. jitolee tu nenda kasafishe.. umetumia nguvu kubwa kuleta uzi huu wakati mda wa ku typ ungeshamaliza swala zima la kusafisha.. ila umeufhiaki kwa kuuita uchafi na ulianza vizuri tu masalia ya marehemu.. M/Mungu akupunguzie jeuri InshAAllah
 
Sio wokozi na zima moto kwelii? [emoji848] Maana hii nchi ukiritimba mwingi kwenye hizi mamlaka na idara zao
Wakishauzoa wanaenda kuunganisha na mwili wa marehenu au?.
Mi naona jukumu hilo wangeusisha ndugu wa marehemu wakaenda kuuzoa.
Kibongobongo ukienda kuuzoa ili kuusitiri marehemu unawwza pigwa na kuuawawa kwa kuusika na ushirikina.
 
Hakuna mbwea au mbwa huko wakala huo 'uchafu'
 
Back
Top Bottom