Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Wanajamvi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwekezaji kutoka china amekabidhiwa na serikali eneo lote.lenye madini ya dhahabu katika wilaya za mkinga na Korogwe.
Katika maeneo ya korogwe ambapo nilikuwepo wiki iliyopota kumetokea dhahabu nyingi sana, hali hii imewafanya wananchi kuhamishia nguvu zao kwenye uchimbaji zaidi badala ya kilimo.
Hata hivyo serikali za wilaya zote mbili kupitia kwa afisa madini wa mkoa wa Tanga kufanya chochote kinacho husiana na uchimbaji kwenye mashamba Yao.
Wanatakiwa wafanyiwe tathimini Ili waondoke na mchina akabidhiwe maeneo husika
Vita ni kubwa sana kwenye maeneo hayo.
Unajiuliza dhahabu kwa akili ya nani?
Serikali inataka nn kwa wananchi?
Waziri wa madini yupo wapi?
Wananchi wapo wapi?
Nawasilisha