Korogwe TTC

Korogwe TTC

Eugo

Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
39
Reaction score
1
Jaman kama kuna mtu kachaguliwa hapa naomba anielekeze japo mahitaji ya Muhimu, maana sijapata joining instruction au kama ulisoma hapa miaka michache iliyopita, maana hata sale sijui ni ipi
 
ada laki 6 kwa mwaka unaweza lipa laki 3 kwa kila semester, michango mengine ipo kibao inafika 133,000. suruali mbili nyeusi, mashati mawili blue bahari, viati vyeusi, tai nyeusi, koti jeupe kama umechaguliwa masomo ya syansi kwa ajili ya practicla lessons, shuka mbili blue bahari, tracksuit ya michezo dark blue, raba za michezo, tshirt za michezo dark blue, ndoo mbili, bunda moja la rimu n.k Pia wametoa acc.no kwa ajili ya kufanya hayo malipo hutapokelewa ikiwa huna bank slip ya kuonyesha malipo hayo. Kazi kwako mkuu mi jtatu nanyanyua.
 
Dah man nilikuwa nimesahau kwenye join instructions kuna form ya afya ambayo unatakiwa ujaziwe na daktari wa hospitali ya serikali...
 
Back
Top Bottom