Korogwe vipi suala la maji?

Korogwe vipi suala la maji?

Kajeku

New Member
Joined
Feb 19, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani!

CCM oyee
 
Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani!

CCM oyee
Wewe siku ya 18 wakati maeneo mengine hapo Korogwe hawajaona tone la maji zaidi ya miezi mitatu.
 
Juma Aweso
January Makamba
Ummy Mwalimu
Hao wote ni mawaziri kamili na wanatokea Tanga
 
Back
Top Bottom