K Kajeku New Member Joined Feb 19, 2023 Posts 2 Reaction score 1 Feb 27, 2023 #1 Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani! CCM oyee
Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani! CCM oyee
R rude Boi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2021 Posts 333 Reaction score 632 Feb 27, 2023 #2 Kajeku said: Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani! CCM oyee Click to expand... Wewe siku ya 18 wakati maeneo mengine hapo Korogwe hawajaona tone la maji zaidi ya miezi mitatu.
Kajeku said: Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani! CCM oyee Click to expand... Wewe siku ya 18 wakati maeneo mengine hapo Korogwe hawajaona tone la maji zaidi ya miezi mitatu.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Feb 27, 2023 #3 Juma Aweso January Makamba Ummy Mwalimu Hao wote ni mawaziri kamili na wanatokea Tanga