Koromeo langu

Koromeo langu

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Wanabodi

Naomba msaada kwani kila ninapokula chakula na kumeza napata maumivu kama kuna vidonda kwenye njia ya kushusha chakula.

Nahitaji msaada wenu wadau.

Ahsante
 
Jaribu kuangalia kwenye kioo angalia Kama
Ni jekundu, unaweza ukawa umepata maambukizi tu hivo tumia antibiotic mfano ampicillin!! 2/3 nusu dozi tu inatosha Mie ilinisaidia!! Ilifikia kipindi siwezi kumeza chochote maumivu makari sana!!
 
Huo ugonjwa naona wengi sana wanao, nenda duka la dawa watakusaidia...
 
Nashukuru sana maana hadi kwenye tumbo nalisikia kama linakwangua halafu nahisi kama ninakiungulia

Ahsanteni tena.
 
Pole sana mara nyingine mafua yakija kwa nguvu yanasababisha homa kali kwenye mfumo wa chakula hivyo kuhisi kuwa na vidonda
 
Back
Top Bottom