Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Ni majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora[emoji16] lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetu
FB_IMG_1549902486423.jpeg


In God we Trust
 
Naamini maneno yako maana hadi sasa hana pakushika
No wonder, tumekaa kimya mambo yamesongamana.Ila mjengoni baba mwenye nyumba anajikaza but lesson learned harudii tena.

In God we Trust
 
Mleta hoja sijui anataka kusema nini. Afafanue tumsaidie anachotaka
 
Tatizo lako ni kuelewa kilichoandikwa au macho yako yanahitaji msaada wa miwani?
Mleta hoja sijui anataka kusema nini. Afafanue tumsaidie anachotaka

In God we Trust
 
Back
Top Bottom