Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Tutapambana Na Rushwa Na Wizi Serikalini Bila Kigugumizi Chochote, Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
 
hivi wale wanunuzi wa zamani walikuwa wanauzia wapi kama sio Alibaba?
 
vijana wa afande mabeyo wameishiwa pumzi??? hahahaaaaaa, kweli kitu kama sio fani yako usikurupuke, biashara zina wenyewe, masikini wakulima wanaibiwa mchana kweupe na serikali ya 'wanyonge'
 
Back
Top Bottom