yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ndio nn sasaNi viboko tu mpaka 2025 mtapata tabu sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ndio nn sasaNi viboko tu mpaka 2025 mtapata tabu sana!
Tena mkosi wa first gradeJiwe ni mkosi!
Data hakuna tareheNi majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora[emoji16] lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetuView attachment 1020041
In God we Trust
Hakika!!Tena mkosi wa first grade
Laaanatullah
Hahahaaaa chapa chapa bakoraNi viboko tu mpaka 2025 mtapata tabu sana!
Watetee wakulima kwanza wafafanulie hizo karatasi, badala ya kukisema chama na mapungufu ya kiutawala mkuuChama dhalimu sana hiki
Niko powa .... nakula bata tu mjengoni... nakula kwa niaba yenu wananchi...😛No wonder, tumekaa kimya mambo yamesongamana.Ila mjengoni baba mwenye nyumba anajikaza but lesson learned harudii tena.
Wewe umeelewaje maana sioni bei hapoNi majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora[emoji16] lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetuView attachment 1020041
In God we Trust