Umsaidie nn na ww hujui anachotaka kusema,
Ndo keshasema km hujaelewa huwezi elewa tena!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo iliyotumika hapo ni lugha adhimu ya kiarabu!Huyu ni mmojawapo katika ambao hawajaelewa!
Usiwe unakurupuka!Hiyo iliyotumika hapo ni lugha adhimu ya kiarabu!
Kangomba waliwalipa wakulima bei ya chini TUKASEMA WAMEWAIBIA WAKULIMA.Ameiba vipi bro? natamani nijifunze wapi jamaa kaiba?