KOROSHO KOROSHO KOROSHO TSHS 25,000 PER KGS GRADES NO. 1 DIRECTLY FROM MTWARA-TANDAHIMBA 0615326654(Whatsapp and Normal Calls)

KOROSHO KOROSHO KOROSHO TSHS 25,000 PER KGS GRADES NO. 1 DIRECTLY FROM MTWARA-TANDAHIMBA 0615326654(Whatsapp and Normal Calls)

Honest K

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
25
Reaction score
14
Karibuni Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU.
Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ.

BEI ZETU;
Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/=
Nusu unajipatia kwa Tshs 12,000/=

JUMLA TUNAELEWANA kuanzia Kgs 10 Kulingana na kiasi matajiri zetu Mtahitaji.

Pia kampuni yetu cha CHILUMBA CASHEWS SUPPLIER inasimama kama WAKALA/AGENT & BROKERS wa kukupatia bidhaa za korosho popote pale.
 
Attachments

  • HAMUWEZI KUA SERIOUS MPAKA MZIGO UNAKATA SIJAPOKEA ODA ZENU WATEJA WAPYA___Karibuni sana watej...jpg
    HAMUWEZI KUA SERIOUS MPAKA MZIGO UNAKATA SIJAPOKEA ODA ZENU WATEJA WAPYA___Karibuni sana watej...jpg
    179.6 KB · Views: 27

    197.9 KB · Views: 29
  • VID-20260117-WA0009.mp4
    596.7 KB
Kilo moja shs 25,000
Nusu kilo shs 12,000
Bora nichukue nusu mbili kwa hesabu za shule ya msingi naona kama nitasevu buku
 
Karibuni Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU.
Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ.

BEI ZETU;
Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/=
Nusu unajipatia kwa Tshs 12,000/=

JUMLA TUNAELEWANA kuanzia Kgs 10 Kulingana na kiasi matajiri zetu Mtahitaji.

Pia kampuni yetu cha CHILUMBA CASHEWS SUPPLIER inasimama kama WAKALA/AGENT & BROKERS wa kukupatia bidhaa za korosho popote pale.
Unaweza kuniletea Malmo Sweden?
 
Unaweza kuniletea Malmo Sweden?
Hiyo bei ya 25000,haina tofauti na bei ya hapo Sweeden kwa kg,angalia kwenye maduka ya waarabu,krona 130,120kg na zimesafilishwa toka zilikotoka ,na good treatment,hizo unazozitaka kila hatuwa imefanywa kwa mkono,ukilenga uziuze hautaruhusiwa kuziingiza hapo Malmo watazimwaga. wenye akili hawatarususu chakura kinachochezelewa kuingizwa nchini kwao labda uzibangulie huko Malmo.
 
1kg=25k
Nusu=12k how????
Si bora nichukue nusu mbili badala ya 1kg?
 
Mkuu hiyo sio korosho ya Tshs 25000 kg one, (hiyo kusema grade one toa
 
Back
Top Bottom