Unaweza kuniletea Malmo Sweden?Karibuni Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU.
Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ.
BEI ZETU;
Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/=
Nusu unajipatia kwa Tshs 12,000/=
JUMLA TUNAELEWANA kuanzia Kgs 10 Kulingana na kiasi matajiri zetu Mtahitaji.
Pia kampuni yetu cha CHILUMBA CASHEWS SUPPLIER inasimama kama WAKALA/AGENT & BROKERS wa kukupatia bidhaa za korosho popote pale.
Hiyo bei ya 25000,haina tofauti na bei ya hapo Sweeden kwa kg,angalia kwenye maduka ya waarabu,krona 130,120kg na zimesafilishwa toka zilikotoka ,na good treatment,hizo unazozitaka kila hatuwa imefanywa kwa mkono,ukilenga uziuze hautaruhusiwa kuziingiza hapo Malmo watazimwaga. wenye akili hawatarususu chakura kinachochezelewa kuingizwa nchini kwao labda uzibangulie huko Malmo.Unaweza kuniletea Malmo Sweden?