Korosho Na namna ya kusafirisha mbegu zake nje ya nchi

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Nataka nisafirishe mbegu za korosho nje ya nchi.
Je mbegu ntapata wapi maana nimepata wateja Zambia wanataka hizo mbegu. Naombeni maoni Na ushauri
 
Yaani kijana, ndugu zetu wa Mtwara na Lindi wanapata faida. Wewe upo kwenye malengo ya kupeleka mbegu Zambia ili faida iondoke apa Tanzania
 
Nenda Naliendele Research Institute-Mtwara wanazo au Kijiji kinaitwa maili kumi kipo mbele ya Naliendele barabara ya kwenda Newala ukiulizia kuhusu mbegu utazipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…