Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kijana, ndugu zetu wa Mtwara na Lindi wanapata faida. Wewe upo kwenye malengo ya kupeleka mbegu Zambia ili faida iondoke apa TanzaniaNataka nisafirishe mbegu za korosho nje ya nchi.
Je mbegu ntapata wapi maana nimepata wateja Zambia wanataka hizo mbegu. Naombeni maoni Na ushauri