Pasco mi nimeshasema na ninarudia: niko radhi kumpigia kura Mtikila kuliko Kikwete! I really mean it. Na ni lazima tuwaeleza wananchi kwamba anything is better than what we have now!! Nobody can screw up more than Jk just did in 5 years! Believe me! Tulikuwa tunauziwa kila siku oh upinzani haujui kuendesha nchi blah! Na we unasema hakuna serious alternative. Sorry, but I don't get it, is JK any choice let alone a serious choice? NO! Does he know what he is doing? NO! does his government know what it is doing? NO! Has the opposition shown more understanding of national issues? YES! Sasa huna sababu ya kumpa kura yako Kikwete... eti hakuna serious alternative... this president is a JOKE!
heshima mbele Susuviri,
Theory yangu ni ya ndege aliyeko mkononi. mimi ni miongoni mwa wale niliosema na ninaendelea kusema, CCM inachaguliwa sio kwa sababu inapendwa sana, bali watu wanakosa cha kuchagua. hata mimi nilikuwa nikiwapigia kura za urais wapinzani nikawa najikuta nimepoteza bure kura yangu, naishi kwa miaka mitano mingine na hasira na chuki dhidi ya aliyeshinda mpkaka nilipokubali kucheza na timu za washindi katika formular ya
'if you can't beat them, join them' and fight from within.
Honestly, I'm among the people disapointed by the oppositions in Tanzania, ni njaa na ubinafsi tuu umewajaa. hebu tuangalie mfano mdogo tuu wa huu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busanda (nitakuwepo huko). Jimbo lilikuwa linashikiliwa na CCM, tayari Cuf wameshateua mgombea, NCCR, wameteua na Chadema tayari. bado UDP lazima watateua, all this ya nini?. si wanampa mgombea wa CCM a walkover victory?. kwa nini hawana umoja?.
uzuri wa kuchagua ni haki ya kidemokrasia, unamchagua yoyote ambaye dhamira yako inakutuma kama vitani, 'kuna askari shupavu, wanaopigana tha loosing battle mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu linamwagika' wanajitoa muhanga na huitwa mashujaa. Wapiganaji wengine wa aina yangu, ni ma strategist, kama unajua utashindwa, usiende vitani, kusanya nguvu, pata uhahika, ingia vitani.
ukweli siku zote unauma, ni uchungu JK atachaguliwa tena 2010 kwa vile wapinzani, hawajajipanga, na walitakiwa wajipange tangu jana. niliwahi sema kama kweli wapinzani wako serious, wamwachie boya Lipumba, wengine wote waende majimboni waingie bungeni. 2010-2015 kiwe kipindi cha kujingenga na kujiimarisha kuchukua nchi, wakiwaaminisha wananchi kuwa wanaweza, wananchi watawaamini na watawakabidhi nchi. CCM walikwisha thibitisha siku yingi kuwa hawawezi, tatizo tumpe nani kama aliyepo hawezi?. si ni bora aliyepo kuliko vacuum?.