KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Kwakweli waTZ tulikosea sana kumpa madaraka ya urais huyu mkwere! Hakuwahi kuwa serious in anything kabla ya urais na bado kaendelea kuwa vile alivyokuwa! Cha ajabu bado kuna watu wanamuona eti aendelee kuwa rais kwa kipindi kingine kwa utaratibu wa utamaduni wa CCM... hizi ni fikra mgando!
Pasco mi nimeshasema na ninarudia: niko radhi kumpigia kura Mtikila kuliko Kikwete! I really mean it. Na ni lazima tuwaeleza wananchi kwamba anything is better than what we have now!! Nobody can screw up more than Jk just did in 5 years! Believe me! Tulikuwa tunauziwa kila siku oh upinzani haujui kuendesha nchi blah! Na we unasema hakuna serious alternative. Sorry, but I don't get it, is JK any choice let alone a serious choice? NO! Does he know what he is doing? NO! does his government know what it is doing? NO! Has the opposition shown more understanding of national issues? YES! Sasa huna sababu ya kumpa kura yako Kikwete... eti hakuna serious alternative... this president is a JOKE!
Ni kuendelea na mambo yale yale ya serikali ya Mkapa. Kutokuanza upya kuelekea ujenzi mpya wa taifa la kisasa. Ni kutokukata ile kamba inayomuunganisha yeye na Mkapa na hivyo kuendelea na mtindo ule ule wa uongozi.
Leo hii, kwa kiasi cha kutisha hadi tripu zake za nje (kama nilivyodokeza mwaka jana alipokuja NY) zinaendelea kutumika kama mitaji ya watu wachache.
Kosa hili ni vigumu kulisahihisha kwa kadiri ya kwamba watu aliohusiana nao 2005 na wale waliomwingiza madarakani wakati ule bado wana nguvu kuliko wale tunaowadhaniwa kuwa ni watetezi wa taifa na wanaoongoza vita dhidi ya ufisadi. Kikwete bado hajavunja mahusiano nao, kwani hawezi kuvunja mahusiano hayo. Na endapo akiamua kuvunja mahusiano hayo sasa basi ni kweli hatosimama kama mgombea 2005.
Hata hivyo, kama ilivyokuwa kwa Mkapa, kuna mambo ambayo Jk na washirika wake wanayafanya sasa na siku moja itabidi wayatolee maelezo. Tanzania inahitaji kuanza upya si kuendeleza ya zamani kwa kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya.
Kikwete hawezi kuanza upya kwani yeye mwenyewe amefungwa na kamba za fikra za zamani!
That is whats up!
Hahahahahahahahaaaaaa mkuu, hebu soma post yangu above your post! You clearly walked into it, kwani umeanza kwa kusema eti Mwanakijiji ana chuki binafsi, lakini I preempted you na wapambe wengine.Nina uhakika unachuki binafsi na JMK.
Huna jipya, kila afanyacho kwako si kitu.
Utajenga taifa jipya bila kufuta ujinga? huwezi!
Na alichokifanya JMK kwa katika muda mchache aliokuwepo madarakani kwenye nyanja ya elimu si rais wa awamu yeyote aliewahi kufanya hivyo, au hilo hujaliona?
Na sasa mazahanati, na mabarabara yote yaliyowashinda wa kabla yake anayafanya tena kwa kasi ya ajabu!
Unakumbuka JMK alivyoingia madarakani, ukitoka Dar Kwenda Mwanza ilikuwa njia rahisi ni kupitia Kenya? Nenda leo kaone, zimebaki KM 70 baina ya Dar na Mwanza ambazo si lami na ziko kampuni mbili zinamalizia baada ya muda si mrefu. na hicho kipande kibovu kinapatika msimu wote.
Wacha chuki binafsi, uwe mkweli kidogo kwenye nia yako!
Napenda kukuukiza, Jee nia yako huwa haikusuti? kwa kuzuwa ya kuzuwa kila kukicha?
Na alichokifanya JMK kwa katika muda mchache aliokuwepo madarakani kwenye nyanja ya elimu si rais wa awamu yeyote aliewahi kufanya hivyo, au hilo hujaliona?
Na sasa mazahanati, na mabarabara yote yaliyowashinda wa kabla yake anayafanya tena kwa kasi ya ajabu!
Unakumbuka JMK alivyoingia madarakani, ukitoka Dar Kwenda Mwanza ilikuwa njia rahisi ni kupitia Kenya? Nenda leo kaone, zimebaki KM 70 baina ya Dar na Mwanza ambazo si lami na ziko kampuni mbili zinamalizia baada ya muda si mrefu. na hicho kipande kibovu kinapatika msimu wote.
Just to set the record straight - JK hajafanya kitu chochote kipya katika sekta ya elimu bali ni MWENDELEZO wa policy ya Mkapa na mpango huu wa elimu ulitungwa 2000 - 2002 na ilikuwa part of HIPC. BTW reform ilianza na primary schools na alipoondoka madarakani Mkapa, wizara ilikuwa inaextend to secondary schools. Hakuna policy mpya iliyotungwa. Kwa hiyo achievement yoyote SIYO achievement ya Kikwete.
Barabara zote zinazojengwa na TANROADS ni mipango iliyopangwa for 20 years na utaratibu wote wa kupokea fedha za wafadhili, usimamizi wake chini ya TANROADS ni structure iliyoachwa na... MKAPA so again nothing new ni mwendelezo wa policy za MKAPA, again NOT the achievement ya Kikwete.
So tell me what innovative things has JK done?????? Acha kutumia achievement za wengine ili kuimba nyimbo za bosi wako.
Chuki binafsi hiyo! kwanini asiyafanye yeye Mkapa mpaka ifikie Rais mwingine ayafanye tena kwa record time?
Huna hoja ya maana ila ni chuki binafsi tu kwa JMK. Mwenye macho haambiwi tazama, na chuo cha DOM. World Record.
Kuwa na wazo na kutenda ni vitu viwili tofauti! JMK ni mtendaji na matokeo tunayaona na anastahili sifa kwa hilo.
Bluray, nimetoa hoja, nikaitetea hoja yangu, ijadili hoja, iunge mkono hoja, ibomoe hoja, ama jenga ya kwako uitete sio kuanza kuja na hoja ya 'watu hawa'Watu kama hawa ndio wanaorudisha nyuma ndoto zote za maendeleo Tanzania.
Nina uhakika unachuki binafsi na JMK.
Kama kawaida ya nabii.... Wayahudi walimsulubisha.
Kwenye uchaguzi ni mambo ya choice 'choose your love, and love your choice' inapotokea you don't get what you want, just take what you get even if its not your choice na hapa ndipo you can't love your choice na kazi inabaki ni moja tuu, kumsulubisha.
Pamoja na mapungufu yote ya JK, ndiye aliyepo na kutokuwepo any serious alternative, tutanchagua tena kwa kishindo huku tukiendelea kumsulubisha kwa kelele ambazo kwayo yeye ni za mlango tuu, hazimkoseshi uzingizi wake wa kusubiri kustaafu kwa amani 2015!.
Pasco,
You have saidi it all.
Umehitimisha vema kabisa.Kama ni kelele zinapigwa sana.. na bado hali itabakia vilevile - nothing will happen.
Tusubiri divine intervention labda maana nani ameweza kwenda a step further beyond kulalama, kulaani, kulaumu, kukejeli?
that is what I said. Tatizo watu wana haraka mno ya kuruka ikifika mahali pa action. But this time, nimejifunza kitu kimoja usitawategemee watu wa JF as a group to do something. They are good in talking (like typical Tanzanians) but they never act. That is why I believe if you can do something, go and do it. Let the others keep talking.
EVERYBODY thinks that SOMEBODY will do something but at the end of the day NOBODY does anything and life goes on!
heshima mbele Susuviri,Pasco mi nimeshasema na ninarudia: niko radhi kumpigia kura Mtikila kuliko Kikwete! I really mean it. Na ni lazima tuwaeleza wananchi kwamba anything is better than what we have now!! Nobody can screw up more than Jk just did in 5 years! Believe me! Tulikuwa tunauziwa kila siku oh upinzani haujui kuendesha nchi blah! Na we unasema hakuna serious alternative. Sorry, but I don't get it, is JK any choice let alone a serious choice? NO! Does he know what he is doing? NO! does his government know what it is doing? NO! Has the opposition shown more understanding of national issues? YES! Sasa huna sababu ya kumpa kura yako Kikwete... eti hakuna serious alternative... this president is a JOKE!
Asante WoS, hawa ndio Watanzania tulivyo na sasa za nchi yetu, ni maneno mengi na vitendo vichache. ili kuingia bungeni na kuonekana ni mbunge machachari, lazima ujue kupiga sana domo hata kama wanachi wako wanakula majani.Pasco,
You have said it all.
Umehitimisha vema kabisa.Kama ni kelele zinapigwa sana.. na bado hali itabakia vilevile - nothing will happen.
Tusubiri divine intervention labda maana nani ameweza kwenda a step further beyond kulalama, kulaani, kulaumu, kukejeli?
Kuna tatizo gani kuwa na chuki binafsi ulitaka ni shee na watu wengine? Na nikisema mambo mazuri nitakuwa na mapenzi binafsi?