Kosa alilofanya Kikwete 2005 na bado anafanya!


We are not writing here with intentions of scaring or forcing ideas to anyone nor fighting....

Anything you write here remember you are talking to public and criticism may come from anyone. People will never think alike, through discussions one may be enlightened to see things differently. I respect Personal opinions and points of view of everyone. I thought I was challenging, not offending or undermining any idea. Peace!

The only way forward (back to the agenda) is democratically remove the sitting president and elect a responsible body in his place. How? Say NO to Kikwete. Say NO to Kikwete. Embrace Change. The most effective change comes from within!
 
Wananchi vilaza kamwe hawawezi kuchagua viongozi makini. Mtahangaika weeeeee. Mara tubadili mfumo........... mara tubadili katiba............. Mara tuking'oe chama fulani madarakani...........wapiiii!!

A people deserve the leaders they get. Leaders are a reflection of those they lead. Kama JMK is incompetent as president, then civil society is incompetent squared in their civic duties. Generally ofcourse.
 

Ndugu yangu Msanii, Naomba respect. Nimetoa mawazo yangu kuwa 'bila wapinzani kuungana, hakuna kitu', ni mawazo yangu naomba uyaheshimu, na wewe 'you dont buy that idea', ni mawazo yako nayaheshimu, hii 'Are you out of your mind ya nini?.
respect.



Thanks Buddy for hammering the point so well!
I always thought in order to have enriched discussions, we have to welcome different opionions and not to strive to think alike..if we all think alike then somebdoy is not thinking at all.And the beauty of diversity is the challenge that one gets - which motivates more thinking.Mara nyingine mtu unaweza kuwa na idea au msimamo wako ambao unadhani ndiyo sahihi.Unapokubali kusikiliza wazo tofauti na ukawa open-minded unapata upande mwingine wa mawazo na unapojumlisha basi unapata kitu tofauti kabisa.
Kuna wakati pia tunajikuta tunatofautiana kabisa, na kuna namna ya kukubaliana kutofautiana bila kuwa offensive.Na ndiyo maana ni vizuri kuwa diplomatic badala ya kukemea wengine kwa mawazo yao maana huwezi kujua utaprovoke vipi na majibu utakayoyapata yakawa siyo mazuri sana.

All in all let call for peace, harmony and understanding!
 
There are people who believe that if you give Kikwete another term of five years he will perform; these people must be JOKERS!! If you give him another five years, the guy will concentrate on looting this country to the core!! He has not performed in his first term , he will never perform even if you give him another decade; the guy has failed to lead this country period!!
 

thats very true
kupenda kwetu kupiga blah-blah even kwenye serious and professional issues kutatufanya tuendelee kuongozwa na viongozi wapiga blah-blah ambao huwa tunapiga nao blah-blah wakati wa blah-blah
 
Mimi nadhani kwa mtazamo wangu JK kashindwa kwa sababu ya mfumo mzima wa utawala wa CCM ulivyo. Tangia enzi za TANU na sasa CCM wanaongoza nchi kwa kutumia mambo yafuatayo (baadhi tu):
1. kulindana ni moja wapo ya sera za CCM hata mwalimu nyerere alihamisha wahalifu bila adhabu
2. CCM hwana sera ya kuwajibika pale wanapo kosea
3. CCM wamekuwa wakitumia pesa ya serikali kuendeshea uchaguzi tangu enzi. Mfano mwaka 1995 mashirika ya umma yalitoa pesa kama ifuatavyo: TANESCO-mil. 300, TDFL-mil 500, Bandari-mil. 600, TRC-mil. 87, NIC-mil. 234, n.k.

Na mengine mengi, kwa hiyo JK hata ahadi alizo kuwa anatoa wakati wa kampeni ilikuwa ni hewa tu.

Hebu muulize ile kauli mbiu ya "kasi mya, ari mpya na nguvu mpya" mbona haizungumzii tena?? Nach taka tufanye watanzania ni kwamba tuendelee kuelimisha watu wetu. N ampongeza Mzee Mwanakijiji kwa jitihada zake, ameshaanza kufanyia kazi hilo jukumu.

Sisi wengine kwa nafasi zetu tufanye kama ifuatavyo:

1. kama wewe ni mwalimu basi usione woga kuwakumbusha wanafunzi wako juu ya maovu ya serikali na uyaseme hadharani.

2. kama unafanya kazi makampuni ya binafsi, na unajua hujuma zinazofanywa na aidha kampuni kwa kushirikiana na viongozi wa serikali ambao ni mfisadi, basi hakikisha unachomoa nyaraka za siri ambazo ukizipeleka vyombo vya habari hujuma hizo zitakoma na umma utaamka.

3. Waandishi wa habari tuongeze nguvu kuandika taarifa za kiupelelezi kuhusu maovu katika jamii kwa ujumla.

4. Kila mtu kwa nafasi yake aonyeshe kukerwa na yanayoendelea nchini kwetu.

5. Wanasheria, hapa ndo kuna tatizo kubwa angalia akina ringo tenga, mkono, lamwai n.k. walivyo isaliti nchi! mikataba yote mibovu ukichunguza wamehusika sasa hawa ni kuwakemea hadharani, kazi hii Mzee kubenea atusaidie.
 
...Nadhani twapaswa kulijadili kwa upana swala hili hasa ukitilia maanani kuwa Mheshimiwa anaonekana bora sana nje ya mipaka yake... Comoros kila siku wanamuota Kikwete (eti) kwa busara zake na kukomboa kisiwa cha Anjouan, hata wakathubutu kupendekeza inchi yao iingie katika muungano wetu.

Lakini kwa mtazamo wa Watanzania wengi... mimi nikiwa mmoja wapo, Kikwete amekosa dira ya kuongoza Tanzania... Labda tujilize nchi kwa kipindi hiki ina objective gani... ambazo Kikwete kama Rais anahakikisha zinafikiwa malengo yakê? Mimi sioni chochote...

na kwakuwa sioni chochote na watanzania hawaoni chochote kinachofanyika zaidi ya Blah blah, sisi tuendelee kusema tu...na wala tusichoke Kwakuwa hata tukikaa kimya haitasaidia vilevile.
 
Nina uhakika unachuki binafsi na JMK.

Kama wewe unampenda, kampikie chai - remember that quote ? Mimi sina chuki binafsi na JMK wako, nachukia anakoipeleka nchi yangu Tanzania. Muda mwingi najiuliza kwa nini aliutafuta Uraisi na sipati jibu - hata hivyo sishangai kwa nini alichaguliwa, kwa watu kama wewe chochote chawezekana - love can be very blind.

Huna jipya, kila afanyacho kwako si kitu.

Hicho anachokifanya zaidi ya kuranda randa kutembeza bakuli, anakifanyia wapi. JMK yupo yupo na Tanzania tuna bahati mbaya ya kuchagua bora kiongozi na kamwe hatuchagui kiongozi bora - sifa kuu ni kuteuliwa na CCM hata kama ni FISADI wa kutupwa.



Utajenga taifa jipya bila kufuta ujinga? huwezi!

Hakuna ujinga unaozidi kutojua kuwa hujui, ni balaa. Kwamba JMK amefuta ujinga ni kichekesho cha mwaka - yale yale ya kujidanganya kuwa wajua kumbe hamna lolote - kipofu amwongoza kipofu !!

Na alichokifanya JMK kwa katika muda mchache aliokuwepo madarakani kwenye nyanja ya elimu si rais wa awamu yeyote aliewahi kufanya hivyo, au hilo hujaliona?

Muda mwingi aliokuwapo madarakani ameweka rekodi ya kusafiri nje kukwepa majukumu ya kuleta maisha bora kwa watanzania. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii, serikali imeweza kutamka hadharani kuwa inawaogopa baadhi ya wahalifu kwa sababu wana nguvu za kuiyumbisha.

Na sasa mazahanati, na mabarabara yote yaliyowashinda wa kabla yake anayafanya tena kwa kasi ya ajabu!

Zaidi ya ile kasi ya kuporomosha mahekalu kijijini kwake, hayo unayoyataja yako nchi gani. Baada ya kushindwa kuboresha kilimo hivi sasa tunashuhudia kasi ya ajabu ya hadithi ya mwarabu na ngamia. Eti Msaudia apewe ardhi ili tuweze kujitosheleza kwa chakula - usinivunje mbavu.


Dar Es Salaam, jaribu kupunguza porojo na uwe mkweli - hata kama unampenda JMK, mpe sifa zinazoeleweka na zinazothibitika.

Wacha chuki binafsi, uwe mkweli kidogo kwenye nia yako!

Na wewe acha unafiki na uwongo, si ajabu hivi sasa tunajikuta tulipo kwa sababu ya watu wa aina yako. Wengi humu tunamjua JMK kama Raisi - mambo yake ya binafsi ni yake na mwandani wake.

Napenda kukuukiza, Jee nia yako huwa haikusuti? kwa kuzuwa ya kuzuwa kila kukicha?

Good question - ila imeelekezwa kusiko, wewe nia yako ya kutetea uozo wote huu haikusuti ? Umeathirika kiasi gani mpaka unashindwa kuona wala kusikia na hata kunusa ? Kaazi kweli kweli !!
2010 JMK must go !!​
 


Ulichelewa sana; wenzako tulijua kabla na wakati wa uchaguzi-sema ndio hivyo hatukuwa na njia ya kubadili matakwa ya mamilioni ya watanzania. Swali: hawa mamilioni watabadilika mwakani au mambo yatakuwa mdundo kama anavyopendako kusema mwenyewe?
 

- JF kwa vichwa bwana, ukidhani umemaliza kuvihesabu then vinatokea vipya, ubarikiwe mkuu maana hii yako kwenye kamali la korokoro tunaiita karata turufu.

FMES!
 
Kuna tatizo gani kuwa na chuki binafsi ulitaka ni shee na watu wengine? Na nikisema mambo mazuri nitakuwa na mapenzi binafsi?

Hahahahaaaaaaaaa, bora umejisemea kweli kuwa unachuki binafsi na umekiri kuwa kuna mazuri ambayo kwa chuki zako binafsi huwezi kuyasema kwa kuwa utakuwa na ''mapenzi binafsi''. Loo!

Nyie ndio waleeeeeeeeee! tunawajuwa.
 
Hahahahaaaaaaaaa, bora umejisemea kweli kuwa unachuki binafsi na umekiri kuwa kuna mazuri ambayo kwa chuki zako binafsi huwezi kuyasema kwa kuwa utakuwa na ''mapenzi binafsi''. Loo!

Nyie ndio waleeeeeeeeee! tunawajuwa.

Ni wewe ndiye uliyesema nina chuki binafsi na umeshindwa kujibu swali la kuna tatizo gani mtu kuwa na chuki binafsi na kiongozi wake? Kama vile kuna tatizo kuwa na mapenzi binafsi? Kwani ni lazima yawe ya kushea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…