umenena kweli, namba zangu ni hizi hapawengine hutukuwa na mawasiliano yako(namba) tungekupataje
Hahahaha nimezionaumenena kweli, namba zangu ni hizi hapa
tehe tehe nirewedi hahahhaHahahaha nimeziona
Urewedi lakini?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]tehe tehe nirewedi hahahha
Pole na hongera kwa kuanza mwaka vizurihata mimi nimekosa bando mwaka mzima nashukuru kuna watu wamenikumbuka mwaka huu
na wewe pia barikiwa na bwana[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Naiwe kwako piana wewe pia barikiwa na bwana
AmenNaiwe kwako pia
Asante na kwako pia mamy!!!!Yaani Sakayo niliishiwa hadi nikakosa hela ya kununua kiwembe cha kusafisha "mazingira" ama kweli kuishiwa ni balaa, hahahahaah. Kheri ya mwaka mpya mpendwa wangu Sakayo hahhahahahah
Ahsante sana rafiki yangu mwemaMkuu nilikumiss sana, nikapata hofu huenda wasiojulikana wameshakuweka kwenye kiroba/sandarusi... Karibu tena Jamvini.
Hapana Nahuja,nimekumbuka mwaka jana around mwezi may nilipata hitilafu ya simu ,ajabu watu wananiuliza sipatikani WhatsApp[emoji28]...
hahahahhha, aiseee!Hapana Nahuja,nimekumbuka mwaka jana around mwezi may nilipata hitilafu ya simu ,ajabu watu wananiuliza sipatikani WhatsApp[emoji28]...
Wengepiga simu mi nilikua na kitochi
Naunga kwa mwezi 35,000/=Unaunga bando la Shilingi ngapi kwa wiki?