Kosa Bando Umjue Rafiki wa Kweli

Kosa Bando Umjue Rafiki wa Kweli

hata mimi nimekosa bando mwaka mzima nashukuru kuna watu wamenikumbuka mwaka huu
 
Hivi uliishiwa eeeh
Nkajua ulikuwa busy na mjomba wangu
Yaani Sakayo niliishiwa hadi nikakosa hela ya kununua kiwembe cha kusafisha "mazingira" ama kweli kuishiwa ni balaa, hahahahaah. Kheri ya mwaka mpya mpendwa wangu Sakayo hahhahahahah
 
Yaani Sakayo niliishiwa hadi nikakosa hela ya kununua kiwembe cha kusafisha "mazingira" ama kweli kuishiwa ni balaa, hahahahaah. Kheri ya mwaka mpya mpendwa wangu Sakayo hahhahahahah
Asante na kwako pia mamy!!!!
Siku ingine uwe unatupeamo taarifa buana!!!
 
Mkuu nilikumiss sana, nikapata hofu huenda wasiojulikana wameshakuweka kwenye kiroba/sandarusi... Karibu tena Jamvini.
 
🙁🙁🙁🙁 sawa Alva yaani umeamua kabisa kunicheka
Hapana Nahuja,nimekumbuka mwaka jana around mwezi may nilipata hitilafu ya simu ,ajabu watu wananiuliza sipatikani WhatsApp[emoji28]...
Wengepiga simu mi nilikua na kitochi
 
Hapana Nahuja,nimekumbuka mwaka jana around mwezi may nilipata hitilafu ya simu ,ajabu watu wananiuliza sipatikani WhatsApp[emoji28]...
Wengepiga simu mi nilikua na kitochi
hahahahhha, aiseee!
 
Back
Top Bottom