Aaah kumbe wewe uko Vizuri nikajua unaunga za 500 ningekuwa nakupa sapotiNaunga kwa mwezi 35,000/=
Aaah kumbe wewe uko Vizuri nikajua unaunga za 500 ningekuwa nakupa sapoti
haswaa!Kumbe
Sawa Usiwe na shakahahahahaahaha, sasa mia tano (500/=) nitatumia kwa dakika ngapi jamani Raphael wa Ureno? Ila hata msaada wa 500/= napokea mkuu. hahhahha. ngoja nikutumie pm namba yangu uwe una ni "sipoti" sio mbaya. ahsante in advance
hahahha, haya ahsanteSawa Usiwe na shaka
Tatizo mtani haujanipa namba zako..nilikumiss kweliKheri ya mwaka mpya wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kumbe ukikosa bundle la kuingia JF ndio utamjua rafiki wa kweli.
Kipindi ambacho nili ishiwa kuna marafiki wa kweli ambao walinitafuta baada ya kuona siko hewani. Ahsanteni sana. Nyie sasa sio marafiki bali mmekuwa ndugu zangu.
Barikiweni sana Tantaw, Mgibeon, Mulhat Mpunga, myoyambendi Miss Natafuta
Ahsanteni sana wote mlionijali kwa kipindi hicho nilivyokuwa juu ya mawe.
Sawa namba zangu ni hizi hapa mtani ngoja nikupe hapa hapaTatizo mtani haujanipa namba zako..nilikumiss kweli
hahahha, marahabaShkamoo mamdogo....!!
Kwema kabisaKaribu binti wa Kipare Za Milimani huko Juu
nazisubiria mtani seriousSawa namba zangu ni hizi hapa mtani ngoja nikupe hapa hapa
hizi hapanazisubiria mtani serious
wapi sasahizi hapa
Tatizo mtani haujanipa namba zako..nilikumiss kweli
Ninatumia mitandao karibia yote isipokuwa Zantel, nikupe ya mtandao upi mtani?nazisubiria mtani serious
Airtel, Tigo na vodaNinatumia mitandao karibia yote isipokuwa Zantel, nikupe ya mtandao upi mtani?