Kosa Bando Umjue Rafiki wa Kweli

Kosa Bando Umjue Rafiki wa Kweli

Kheri ya mwaka mpya wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kumbe ukikosa bundle la kuingia JF ndio utamjua rafiki wa kweli.

Kipindi ambacho nili ishiwa kuna marafiki wa kweli ambao walinitafuta baada ya kuona siko hewani. Ahsanteni sana. Nyie sasa sio marafiki bali mmekuwa ndugu zangu.

Barikiweni sana Tantaw, Mgibeon, Mulhat Mpunga, myoyambendi Miss Natafuta

Ahsanteni sana wote mlionijali kwa kipindi hicho nilivyokuwa juu ya mawe.
Tatizo mtani haujanipa namba zako..nilikumiss kweli
 
Back
Top Bottom