Kosa Bando Umjue Rafiki wa Kweli

Kosa Bando Umjue Rafiki wa Kweli

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Kheri ya mwaka mpya wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kumbe ukikosa bundle la kuingia JF ndio utamjua rafiki wa kweli.

Kipindi ambacho nili ishiwa kuna marafiki wa kweli ambao walinitafuta baada ya kuona siko hewani. Ahsanteni sana. Nyie sasa sio marafiki bali mmekuwa ndugu zangu.

Barikiweni sana Tantaw, Mgibeon, Mulhat Mpunga, myoyambendi Miss Natafuta

Ahsanteni sana wote mlionijali kwa kipindi hicho nilivyokuwa juu ya mawe.
 
Usikubali kukosa bando Njoo pm na namba yako Voda Nakuunga Kwa 3000/= tu wiki.
 
Kheri ya mwaka mpya wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kumbe ukikosa bundle la kuingia JF ndio utamjua rafiki wa kweli.

Kipindi ambacho nili ishiwa kuna marafiki wa kweli ambao walinitafuta baada ya kuona siko hewani. Ahsanteni sana. Nyie sasa sio marafiki bali mmekuwa ndugu zangu.

Barikiweni sana Tantaw, Mgibeon, Mulhat Mpunga, myoyambendi Miss Natafuta

Ahsanteni sana wote mlionijali kwa kipindi hicho nilivyokuwa juu ya mawe.
[emoji121]
WEKA PICHA MKUU!!!

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
yamekuwa hayo tena kisa bando tu, je kama na wengine hawakuwa na bando
 
Back
Top Bottom