Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Najua hili madogo hawatakaa kuelewa na masista du watanirushia chupa za bia kwa hasira.
Unamjengea saikolojia ya kuwa amekuwa dominant katika ulimwengu wako thus atatumia hii kama fimbo ya ku-expose ubinafsi na kisirani chake.
Kinachofuatia ni wewe kuja nyuzi za kulalamika humu.