Hata tawala za kimila zilizowahi kutikisa dunia zikikuwa namna yakutawala na kutosahau kuwa waliomfikisha pale walipo ndio watu wamuhimu sana.
Historia inajieleza ya kuwa pale watawala hawa wa kimila waligeuka na kuwasahau wale waliwafikisha pale walipo tawala zao zilianguka na kama sio kuanguka basi amani ktk nchi ilipotea.
Mh Rais wetu ktk siku za kaibuni amebadilisha muelekeo na kuonyesha yeye hasikilizi la mtu wala kushauriwa. Akaenda mbali nakusema alichukua form mwenyewe hakushauriwa na mtu.
Sina uhakika kama anakumbuka alishawahi kusema JK ndie alimshauri akachukue form na ndio mwanzo wasafari yake. Hili linatuonyesha nini ktk huu utawala? Jibu ni rahisi utawala umefika mahali hautambuwi mchango wa wale walifanikisha kufika pale walipo. Mh Rais nadhani kama hili halijuwi basi kupitia uzi huu atambuwe wapo maelfu ya vijana pitia mitandao hii hii tulikupamba nakukusifia.
Moderator anaweza retreave thread za nyuma nakuziweka hapa ili kuthibitisha ukweli. Kiukweli kabisa wengi wetu tulie sema huyu ndie tumerudi nyuma maana rais mwenyewe ameanza kutudharau nakuona bashite ndio roho yake mtu ambaye hata hana tone la uchungu wa CCM Bashite nisawa na msafiri aliyepanda ndani ya gari kama msaada ikafika mahali akapewa kidogo kuendesha gari ila mwisho wa safari akajimilikisha gari nakusema bila yeye tusingefika.
Mh Nnape na makamanda wengine ndio sababu ya Magufuli kuwepo. Na hili asije hata siku moja akasema ni yeye amefika hapo kwa nguvu zake. Mh Mkapa amekaa kimya ila sidhani kama siku Magu alisema amejiweka yeye aliangalia TV nadhani alienda kulala maana hakuamini kile anakisikia.
Mh Rais usipousoma huu upepo nakubadilika haraka tena kwa kwenda kwa hawa wazee nakuwaomba msamaha usije kuuliza nini lilitokea. Ila ukumbuke kauli zako.
Hili taifa nalipenda sana mfumo wake wakiusalama ambao nina imani kama mh Rais angeusoma vizuri angeomba hotuba asome.
Je utadumu ? Na kama utadumu, je utawezakufikia malengo yako bila chama??? Tusubiri