OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mleta mada ni mwanaccm kindakindaki,niliwaambia kuna siku kila mtu atakuwa upande wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni wawote pamoja na yeyeUnakufuru.
Mungu Ndiye mwenye Final Say.
Mkuu ilaumu tume ya uchaguzi. OverAngalau mmeanza kusoma namba.Mlitukera sana sisi tulioona mbali kama anavyowakera rais sasa.Lakini,tunywe maji kidogo ya Tanzania na kusonga mbele! Tusikubali kugawanywa na mtu yeyote yule kwa ukabila au ukanda.
Mytake:Makanda mnaolialia sasa mtubu na kuwaomba radhi watu waliokuwa tayari kutuepusha na hii hali ila mlifanya kila hila kuwakwamisha.
Jamani ninaomba kama kuna mtu mwenye clip ya ile dua iliyosomwa pale Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni za UKAWA, nini kitampata mtu atakayeshinda kwa kuiba kura.Hata tawala za kimila zilizowahi kutikisa dunia zikikuwa namna yakutawala na kutosahau kuwa waliomfikisha pale walipo ndio watu wamuhimu sana.
Historia inajieleza ya kuwa pale watawala hawa wa kimila waligeuka na kuwasahau wale waliwafikisha pale walipo tawala zao zilianguka na kama sio kuanguka basi amani ktk nchi ilipotea.
Mh Rais wetu ktk siku za kaibuni amebadilisha muelekeo na kuonyesha yeye hasikilizi la mtu wala kushauriwa. Akaenda mbali nakusema alichukua form mwenyewe hakushauriwa na mtu.
Sina uhakika kama anakumbuka alishawahi kusema JK ndie alimshauri akachukue form na ndio mwanzo wasafari yake. Hili linatuonyesha nini ktk huu utawala? Jibu ni rahisi utawala umefika mahali hautambuwi mchango wa wale walifanikisha kufika pale walipo. Mh Rais nadhani kama hili halijuwi basi kupitia uzi huu atambuwe wapo maelfu ya vijana pitia mitandao hii hii tulikupamba nakukusifia.
Moderator anaweza retreave thread za nyuma nakuziweka hapa ili kuthibitisha ukweli. Kiukweli kabisa wengi wetu tulie sema huyu ndie tumerudi nyuma maana rais mwenyewe ameanza kutudharau nakuona bashite ndio roho yake mtu ambaye hata hana tone la uchungu wa CCM Bashite nisawa na msafiri aliyepanda ndani ya gari kama msaada ikafika mahali akapewa kidogo kuendesha gari ila mwisho wa safari akajimilikisha gari nakusema bila yeye tusingefika.
Mh Nnape na makamanda wengine ndio sababu ya Magufuli kuwepo. Na hili asije hata siku moja akasema ni yeye amefika hapo kwa nguvu zake. Mh Mkapa amekaa kimya ila sidhani kama siku Magu alisema amejiweka yeye aliangalia TV nadhani alienda kulala maana hakuamini kile anakisikia.
Mh Rais usipousoma huu upepo nakubadilika haraka tena kwa kwenda kwa hawa wazee nakuwaomba msamaha usije kuuliza nini lilitokea. Ila ukumbuke kauli zako.
Hili taifa nalipenda sana mfumo wake wakiusalama ambao nina imani kama mh Rais angeusoma vizuri angeomba hotuba asome.
Je utadumu ? Na kama utadumu, je utawezakufikia malengo yako bila chama??? Tusubiri
There is karma and is real!.Hata tawala za kimila zilizowahi kutikisa dunia zikikuwa namna yakutawala na kutosahau kuwa waliomfikisha pale walipo ndio watu wamuhimu sana.

Wengi hawakulielewa hili, sasa litaeleweka. Ukitaka mengineyo 2020 ujaribu nnje ya CCM au sivyo usubiri 2025 ukiwa ndani ya CCM otherwise ugombee ukiwa nnje.Kwa nini asidumu wakati ccm wameishabadili mtazamo mapema tu kuwa 2020 asiwe na mpinzani au mgombea urais yaani apite ndani ya chama moja kwa moja bila kura.
Uraisi hauna ubia,alipoapa mimi John Pombe.........hakuapa kwa niaba ya wapambe au waliompigia kampeini.Hata Lowasa na Rostumu walimfikisha JK hadi juu.
Haswa kwani Lisu alishawaambia hii ni serikali ya aina gani watu mkaguna sasa ndo muone.Wengi hawakulielewa hili, sasa litaeleweka. Ukitaka mengineyo 2020 ujaribu nnje ya CCM au sivyo usubiri 2025 ukiwa ndani ya CCM otherwise ugombee ukiwa nnje.
Ulikuwa mbele ya muda mkuu🤔Huyu jamaa nina mashaka na safari yake.
nafikiri sasa hata watangulizi wake wanaanza kushituka juu ya haya anayoyafanya.
Mwisho wa siku ataondolewa bila kupenda.
👆🏼👆🏼👆🏼Kabisa!!! Ni kama mtu aliye juu ya mti na kuanza kukata matawi yote yaliyomsaidia akati anapanda!!! Aombe asiteleza tu!!! Anguka yake ni brutal!!!