Kosa kubwa la Diamond leo

Mtanishangaa nikisema hii ilipangwa kufifisha upepo wa mtanzania mwenzetu anayeendelea kupata tiba Nairobi?

Au mtanichukia kwa kuwaambia hili?
Hiyo mimba ilitungwa ili kufifisha tukio la Lissu?
 
Mtanishangaa nikisema hii ilipangwa kufifisha upepo wa mtanzania mwenzetu anayeendelea kupata tiba Nairobi?

Au mtanichukia kwa kuwaambia hili?
.
Mtu haishi kwa mkate pekee
 
Ni bora alivyo kiri hii ishu ilikuwa ina mtia doa kuwa katelekeza mtoto jamii hasa hasa wanawake walikuwa washanza kujenga chuki nae, mama yke pia alikuwa ana husishwa kuwa hamjali ako kademu wakati nae alishawahi telekezwa uku maadui zke walikuwa wanaitumia km fimbo ya kumchapia Zari
 
Diamond na Zari wameoana lini? Maana ulisema atavunja ndoa nashindwa kuelewa kila mtu yupo kwake haijawahi kutokea wakakaa wote hata miezi mitatu pika pakua.
 
Mwanamke lulu bwana beauty with purpose yaan she s so matured utafikiri kina miaka 50, mtt anatoka na watu wakubwa kama kina trump na hutakaa usikie show of za kingese ngese ...mobeto hana akili kabisa...mtt analelewa ,matumizi anapata shidake nn
 
Naam kiongozi umenena vyema kabisa hawa viumbe wavumilivu sana ukishakubali tu uvumilivu hufa hapo hapo....hawa huwa tunawakatalia mpaka mwisho hata akukute uko kiunoni unagoma kabisa....
 
Hivi alimuowa lini huyo zari
Sio mkewe nawala hajafanya kosa lolote kama alivyo zaa na zari ndio alivyo zaa na hamisa wote kazini nao tu hakuna mkee halali wakusemea eti amezaa nje yandoa nilini diamond alifunga ndoa?
 
We haujajua huyo dogo anataka kututhibitishia kua anauwezo wa kuzalisha.pia huwezi jua anapata kibano gani na watoto wa zari.mimi naona diamond anajiwekea ulinzi na kua na nguvu kwa zari .
 
Naam kiongozi umenena vyema kabisa hawa viumbe wavumilivu sana ukishakubali tu uvumilivu hufa hapo hapo....hawa huwa tunawakatalia mpaka mwisho hata akukute uko kiunoni unagoma kabisa....
Yes dogo kakurupuka sana aisee, mi nimewahi kukutwa na wife(enzi akiwa mpenzi) nikiwa na mwanamke mwingine live lakini nikasema kaja kuleta taarifa ya msiba umetokea hapo jirani, wife akawaka lakini nikasimamia msimamo huohuo na mwisho yakaisha.Lakini baadae wife akajua kabisa nilipiga ule mzigo but maisha yanasonga mpaka sasa tuna watoto 3
 
Mwanamke lulu bwana beauty with purpose yaan she s so matured utafikiri kina miaka 50, mtt anatoka na watu wakubwa kama kina trump na hutakaa usikie show of za kingese ngese ...mobeto hana akili kabisa...mtt analelewa ,matumizi anapata shidake nn
Acha ukilaza nani wa kutoka na Trump toka madale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…