Kosa kubwa la Diamond leo

Mtanishangaa nikisema hii ilipangwa kufifisha upepo wa mtanzania mwenzetu anayeendelea kupata tiba Nairobi?

Au mtanichukia kwa kuwaambia hili?
Upo kichwani.kwangu.kabisa
 
Hiyo mimba ilitungwa ili kufifisha tukio la Lissu?
Hapana mimba ilikuwepo tukio.limetokea sema limepewa airtime ambako wala hakukutakiwa iwe hvy Uzinzi unapewaje front page namna hiyo.......thats why diamond akaenda redioni kuelezea uzinzi halafu watu wakawa busy kufuatilia
 
Nilikuwa na maana hii.
 

Attachments

  • IMG_3521.jpg
    103.5 KB · Views: 28
Aisee...kwani huyo Diamond amechepuka vp wakati hajawahi funga ndoa?!?!
 
Kwa upande wa pili sikubaliani kabisa na wewe baba dully ameonyesha ukomavu kama mvulana ni wavulana wachache sana wanaoweza kukubali watoto
kwanza hajaoa huyo unayemtetea ni goma lake tu alipiga likamzalia watoto wawili na anaweza akamzalia watatu na kuendelea maana amejaaliwa uzazi
wamekaa miaka mitano mahusiano ya mbali huyu nchi nyingine na yeye yuko tz wana makubaliano yao wanajua wenyewe waliamua wenyewe
mobutu amezaa na diamond kwa nafasi yake alitaka mwenyewe
kwa mvulana kuwa na demu mmoja ni kazi sana kwa usawa huu wanajileta wenyewe na chupi mkononi labda kama siyo rijali ni sawa tu aendelee kuwamega hadi atakapokuwa mtu mzima
 
Asijali asaivi anaona anapendwa kumbe kunapendwa pesa zikimuishia ndipo atakapo elewa kumbe walikua wa napenda pochi
 
Wazinzi wakifarijiana.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Lkn kumbuka mapenz ya watu wawil huwa hayaingiliw huwez jua wanaongea nn wakiwapo chumban ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…