Hahahahaha..inanikumbusha ile ..wamekufa watu 3 na mmarekani mmoja ..Kulikuwa na watu watatu na mmasai mmoja
Ushawahi kuona mzungu katoka Ulaya kaja kumuona Mzigua?Sio Sawa Sawa kabisa .
Ni vivutio ila ubaya tu ni kua sio wanufaikaAcheni ubaguzi , maasai si vivutio vya watalii
Kwani masai chi ntu ?Habari zilizotufikia kuna ajali imetokea wamekufa watu watatu na mmasai mmoja
Raisi samia ndio tumuulizeKwani masai chi ntu ?
Ni watu maarufu sana.Ndani ya nchi yetu kumekuwepo na ubaguzi wa wazi dhidi ya watu wa kabila la wamasai.
Imekuwa ni kawaida kuwaona na kuwatambua watu wote Kama Watanzania isipokuwa maasai ndio hutambulika Kama wamasai.
Kwanin tunatumia utambulisho wa kikabila Kwa maasai Ila Kwa wengine tunatumia utambulisho wa Utanzania?
Mathalani utasikia mlinzi wa kimasai au kijana wa kimasai lakin huwez sikia mlinzi wa kinyakyusa au kisukuma.View attachment 3047808