Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ukweli huo.ndo maana wanakaa maporini na wanyamaHuu ni ubaguzi na dharau za waz
😀😀Ndo ukweli huo.ndo maana wanakaa maporini na wanyama
Nafkiri sababu ni hii - Masai tribe ndo kabila pekee ambalo ukimuona unamtambua kwa aina ya vazi lake, tofauti na makabila mengine, sidhani kama wanabaguliwa, Tena ilibidi kwao iwe fahari kwa kuweza kuwa na muonekano ambao huwatambulisha kwa urahisiNdani ya nchi yetu kumekuwepo na ubaguzi wa wazi dhidi ya watu wa kabila la wamasai.
Imekuwa ni kawaida kuwaona na kuwatambua watu wote Kama Watanzania isipokuwa maasai ndio hutambulika Kama wamasai.
Kwanin tunatumia utambulisho wa kikabila Kwa maasai Ila Kwa wengine tunatumia utambulisho wa Utanzania?
Mathalani utasikia mlinzi wa kimasai au kijana wa kimasai lakin huwez sikia mlinzi wa kinyakyusa au kisukuma.View attachment 3047808