Kosa kubwa la Yanga ni kujifananisha na Simba!

Unashiriki kikombe cha kahawa na bado unapata nguvu ya kuwazodoa wenzako walioko kombe la wanaume,,ndani ya misimu 5 mwenzako anayo medali ya caf mshindi wa pili wewe ulishindwa kuvuka ata robo fainali,,hizi ni akili za wakina kisugu sio Bure!
 
Sio kosa lako, umbumbumbu ndiyo shida, Mwenye medali ya CAF ni nani? Aliyepo club bingwa ni nani?
Hata simba wanayo medali walicheza fainali 1993 Caf champions league ndio maana nimekuuliza au ww ni generation Z Mkuu hujui kama simba alishawahi kucheza fainali mkuuu.
 
Reactions: BRN
Hata simba wanayo medali walicheza fainali 1993 Caf champions league ndio maana nimekuuliza au ww ni generation Z Mkuu hujui kama simba alishawahi kucheza fainali mkuuu.
Champions league mwaka 93 ilikua Zamalek na Asante Kotoko hio yenu ilikua ya CUF ya Lipumba
 
Hata simba wanayo medali walicheza fainali 1993 Caf champions league ndio maana nimekuuliza au ww ni generation Z Mkuu hujui kama simba alishawahi kucheza fainali mkuuu.
Onyesha hiyo medali πŸ˜€ au ndiyo Medali motors ya kichaa wenu
 
Yaani timu yenye makombe 30+ Ligi kuu mataji ya fa na medali za CAF ikajifunze kwa timu ambayo haijawahi hata kucheza fainali Caf wala haina hata makombe 20 ya Ligi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ndiyo definition ya umbumbumbu
 
Haki ujinga mzigo wa nnya. Hiki nini nakiona hapa unajidharirisha mbele ya makolo wenzako. Yan unajilinganishaje na mtu uliyemzidi kila kitu? Wewe kama kaka utakua na upungufu wa akili sio bure.

Pambabrni walau mfute viaibu vidogo vidogo kama hivi kutaka kusema Yanga inajifanisha na kolo wizards.
 
Mkuu kipara kipya kuwaita yanga kuwa ni timu ni kupoteza muda wale ni wahuni waliojikusanya na kuanza kucheza Mpira kama sehemu ya misheni ya kutakatisha fedha na Dili zingine nyeusi. GSM wameondoa kipengere Cha wanachama ili wabaki na Siri zao.
Kama kuna ukweli fulani hivi!
 
Simba kashinda mbili!
 
πŸ‘ŽπŸ‘ŽπŸ‘Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…