Kosa kubwa limefanyika kumrithisha Benchikha migogoro ya zamani

Kosa kubwa limefanyika kumrithisha Benchikha migogoro ya zamani

IMG_0513.jpg
 
Mpira wote tumeuona Ayubu kateleza wamesawazisha.
Ni lipi hapa tusilolijua?
Sawaa. Mimi nakwambia kama ulikuwa unaangalia vizuri ule mpira kipindi cha kwanza tu kingekwambia Simba haendi kushinda ile mechi na siyo kwamba ilikuwa inacheza vibaya. Sitasema zaidi ya hapo ila turudi hapa mzunguko wa kwanza ukiisha
 
Mimi napita tu. Nadhani sasa mnaelewa kwa nini wengine tumekuwa tunayasema haya ambayo tumekuwa tunayasema.

 
Back
Top Bottom